Habari za Punde

Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja Kati ya JKU na Polisi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Timu ya Polisi Imeshinda Kwa Vikapu 59 - 45.

MCHEZAJI wac Timu ya Polisi Saleh Ali akiruka juu kuweka mpira katika kikapu wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja huku mchezaji wa Timu ya JKU Abdilah Riziki akijiandaa kummzuiya, mchezo huo umefanyika katika viwanja vya Gymkhana Timu hya Polisi imeshinda Vikapu 59 - 45
MCHEZAJI wa Timu ya JKU Ramadhani Hassan  mwenye mpira akimpita mchezaji wa Timu yas Polisi Yussuf Uwesu, ikiwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Ungyuja mchezo uliofanyika uwanja wa Gymkhana Timu ya Polisi imeshinda kwa vikapu 59 - 45
WACHEZAJI wa Timu ya Polisi na JKU wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika uwanja wa Gymkhana Timu ya Polisi imeshinda kwa vikapu 59 - 45
MCHEZAJI wa Timu ya Polisi Saleh Ali akiruka juu kuweka mpira kikapuni wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika uwanja wa gymkhana Timu ya Polisi imeshinda vikapu 59 - 45No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.