Habari za Punde

Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa na Idara maalumu za SMZ ziarani Pemba

 Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalumu za SMZ, Shamta Shaame Khamis, akisisitiza jambo wakati akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani na Baraza la Mji huo ,
katika kufuatilia Changamoto mbali mbali zinazowakabili Wananchi.
 Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba, Abeid Juma Ali, akifunguwa kikao cha pamoja katia ya Uongozi wa Wilaya hiyo na Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa na Idara maalumu za SMZ, Shamata Shaame Khamis, kikao ambacho Naibu huyo aliwakumbusha wafanya kazi walioingia katika ugatuzi kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Idara maalumu za SMS, Shamata Shaame Khamis, akiwa ndani ya mashuwa akielekea katika Kisiwa cha Kojani kuangalia masuala mbali mbali yanayohusiana na afya
katika Kisiwa hicho.

PICHA NA ALI SAID -PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.