Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na ujumbe wa shirika la Hel Age International

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirika la kuwahudumia Wazee Duniani "Help Age International" Bw.Arun Maura alipoongoza ujumbe aliofuatana nao ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 01/11/2017.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Shirika la kuwahudumia Wazee Duniani "Help Age International"  ulioongozwa na Mwenyekiti  Bw.Arun Maura (wa pili kulia) wakati  ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 01/11/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.