Habari za Punde

Timu za Mchezo wa Baseball Zaagwa Leo

Mwenyekiti wa Heshima na mfadhili mkuu wa Timu ya Baseball Zanzibar Nd,Shimaoka wanne kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na wachezaji wa Timu ya Baseball wakati walipofika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa ajili ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili kumtafuta bingwa wa Tanzania ambapo Timu 12 zinatarajiwa kushiriki,Zanzibar ikitoa Timu mbili.Mwanakwerekwe C na Mwenge Magharibi A.
Mwenyekiti wa Chama cha Baseball(ZABSA)Othman Ali Msabah akizungumza na Mwandishi mara baada ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili kumtafuta bingwa wa Tanzania ambapo Timu 12 zinatarajiwa kushiriki,Zanzibar ikitoa Timu mbili.Mwanakwerekwe C na Mwenge Magharibi A.
Mwenyekiti wa Heshima na mfadhili mkuu wa Timu ya Baseball Zanzibar Nd,Shimaoka akizungumza na Mwandishi mara baada ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili kumtafuta bingwa wa Tanzania ambapo Timu 12 zinatarajiwa kushiriki,Zanzibar ikitoa Timu mbili.Mwanakwerekwe C na Mwenge Magharibi A.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.