Habari za Punde

Umoja wa Asasi za Kirai za Kutetea Haki za Wanawake na Watoto Wazungumza na Waandishi wa Habari Mambo Wanayoikabili Jamii Katika Vitendo Vya Udhalilishaji Zanzibar.

Mwenyekiti wa Umoja wa Asasi za Kirais Kutetea Haki za Wanawajke na Watoto Zanzibar Bi Salma Haji Sadaat akizungumza na waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali viliko Zanzibar kuhusiana na masuala mbalimbali yanayoikabili Jamii katika vitendo vya kukithiri vya udhalilishaji wa Watoto na Wanawake Zanzibar, mkutaho huo umefanyika katika ukumbi wa Umoja wa Watu Wenye Ulemavu Zanzibar welesi.
Mwanaharakati wa Asasi hiyo kutoka Tamwa Dk Mzuri Issa akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari kuhusiana mambo hayo na kujua wajimbu wa mwanamke katika jamii.
Mwanaharakati Haura Shamte akisisitiza jambo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliohudhuria mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.