Habari za Punde

Washindi wa Mbio za Diabetes Marathon Zanzibar 21KM Kuadhimisha Siku ya Kisukari Duniani Imeadhimisha leo kwa Marathon.

Washindi wa Mbio za Diabetes Marathon Zanzibar 21KM wakiwa katika jukwaa kusubiri kukabidhi medali na zawadi zao na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Riziki Pembe Juma, katikati ni mshindi wa kwanza wa Mbio hizo Zakia Mrisho na kulia Mshindi wa Tatu Neema Kisuda na kulia Neema Paul.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma akimvisha Medeli ya Dhahabu Mshindi wa Kwanza wa Mbio za Diabetes Marathon Zanzibar Zakia Mrisho kwa kuibuka mshindi wa mbio hizo kwa upande wa Wanawake kwa mwaka 2017.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma akimvisha mfano wa hundi Mshindi wa Kwanza wa Mbio za Diabetes Marathon Zanzibar Zakia Mrisho kwa kuibuka mshindi wa mbio hizo kwa upande wa Wanawake kwa mwaka 2017.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe..Riziki Pembe Juma akimpongezaMshindi wa Kwanza wa Mbio za Diabetes Marathon Zanzibar  Elisha Wema kwa kuibuka mshindi wa mbio hizo kwa upande wa Wanaume mwaka 2017.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe..Riziki Pembe Juma akimkabidhi mfano wa hundi Mshindi wa Kwanza wa Mbio za Diabetes Marathon Zanzibar  Elisha Wema kwa kuibuka mshindi wa mbio hizo kwa upande wa Wanaume mwaka 2017.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe..Riziki Pembe Juma akimpongeza na kumkabidhi fedha zilizotolewa na Mwananchi kwa kuvutiwa na kijina huyo kumaliza mbio hizo za Diabetes Marathono 2017.Mtoto Zahro Said Zahro.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe..Riziki Pembe Juma akimpongeza na kumkabidhi fedha zilizotolewa na Mwananchi kwa kuvutiwa na mtoto huyu Sumaiya Abdulhakim kumaliza mbio za 2KM Diabetes Marathon Zanzibar 2017..
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.