Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Afunga Mkutano Mkuu wa UVCCM. Kheri Denice James Aibuka Mshindi Nafasi ya Mwenyekiti na Tabia Maulid Mwita Aibuka Makamu Mwenyekiti UVCCM

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Mboni Mhita alipowasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Mipango Dodoma kufunga Mkutano Mkuu wa UVCCM
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdrahaman Kinana wakiingia katika ukumbi wa mkutano wa Tisa wa UVCCM. ukumbi wa chuo cha mipando dodoma

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM wakati wamesimama wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akiingia katika ukumbi wa Mkutano
MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mkuu wa UVCCM Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM William Lukuvi akitangaza matokeo ya uchaguzi kwa wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma

MSHINDI wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Tabia Maulid Mwita akishindikizwa na wapambe wake baada ya kutangazwa rasmin msindi wa nafasi hiyo
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UVCCM wakishangilia wakati wa matokeo ya Uchaguzi wa nafasi za Mwenyekiti na Makamu wake katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
Mwenyekiti wa UVCCM Kheri Denice James baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.kuongoza UVCCM.

MSHINDI wa Nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Kheri Denice James akiwa amebeba juu baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo na msimamizi wa Uchaguzi Mkuu William Lukuvu
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UVCCM wakishangilia wakati wa matokeo ya Uchaguzi wa nafasi za Mwenyekiti na Makamu wake katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
WASHINDI wa Nafasi za Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Kheri Denice na Tabia Maulid Mwita wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimpongeza Mwenyekiti wa UVCCM kwa ushindi wa nafasi hiyo baada ya kutangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM William Lukuvi, 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, na Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana wakimpongeza mshindi wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Tabia Maulid Mwita. 
KAIMU Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka akimpongeza Mwenyekiti wa UVCCM Kheri Denice James baada ya kutangazwa na kuwa mshindi wa nafasi hiyo
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu waUVCCM wakishangilia wakati wa kutangazwa matokeo ya uchaguzi
MWENYEKITI wa UVCCM Kheri Denice James akihutubia na kutowa shukrani kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo kwa kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma

MWENYEKITI wa UVCCM Kheri Denice James akimkabidhi picha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa ufungaji wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodma akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akifurahia picha yenu sura yake baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa UVCCM Kheri Denice James, kulia Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa tISA WA UVCCM katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Chuo cha Mipango Dodoma wakati akifunga mkutano huo na kutowa nasaha zake kwa Viongozi waliochaguliwa
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UVCCM wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein akifunga mkutano huo baada ya kumalizika shughuli za uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
WAGENI Waalikwa waliowahi kuwa Viongozi wa nafasi mbalimbali katika UVCCM wakifuatilia mkutano huo wakati wa ufungaji wake uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango 
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UVCCM wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein akifunga mkutano huo baada ya kumalizika shughuli za uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa UVCCM wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kufungwa na kuwapungia mikono Wajumbe wa Mkutano huo
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi wapya wa UVCCM Makamu Mwenyekiti UVCCM Tabia Maulid na katikati Mwenyekiti wa UVCCM Kheri Denice James wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.