Habari za Punde

Waziri Mhe Haroun Afungua Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora Zanzibar

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akifungua mkutano wa Kitaifa wa Kongamano la Siku moja la Utawala Bora katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.

Katibu Mkuu Wazara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Yakout Hassan Yakout akizungumza wakati wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi.
Katibu Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kubingwa M Simba akiwasilisha Mada kuhusiana na Utawala Bora wakati wa Mkutano huo wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora Zanzibar.
Mkurugenzi Nasima Haji Chuom akiwasilisha Mada kuhusiana na Utawala Bora na Udhalilishaji , Uzoefu katika Masuala ya Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto wakati Kongamano hilo la Utawala Bora Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.