Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akiyapokea Matembezi ya Vijana 1,000 wa Umoja wa Vijana {UVCCM} walioanzia Mwera kuadhimisha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964 hapo Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.

Balozi Seif akizungumza Vijana walioshiriki katika matembezi ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hapo katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Nd. Kheir James akitoa salamu katika kilele cha Matembezi ya UVCCM kilichomalizikia Afisi Kuu ya CCM Kisiwanduzi.
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia matukio mbali mbali yaliyojiri katika kilele cha Matembezi ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .
Picha na – OMPR – OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment