Habari za Punde

Mashindano ya resi za Ngalawa Forodha mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika mashindano ya resi za Ngalawa yaliofanyika Forodha mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Mtangazaji wa ZBC Redio Fatma Said akiangalia Resi za Ngalawa kwa kutumia Darubini katika mashindano yaliofanyika Forodha mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Ngalawa inayojulikana kwa jina la Fimbo ambayo ilitokea mshindi wa kwanza inayoongozwa na Nahodha Suleiman Ali  ikiingia Mfundani katika  mashindano yaliofanyika Forodha mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Wananchi mbalimbali wakizitizama Ngalawa zinazorejea ambazo zimo katika mashindano yaliofanyika Forodha mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Naibu Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe,Chum Kombo Khamis akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni Rasmi katika mashindano ya resi za Ngalawa yaliofanyika Forodha mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir akitoa hotuba na kuwapongeza washiriki wa  mashindano ya resi za Ngalawa yaliofanyika Forodha mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir akimkabidhi mshindi wa kwanza wa Resi za ngalawa Nahodha Suleiman Ali zawadi ya Shilingi za kitanzania 300000 Laki tatu mashindano yaliofanyika Forodha Mchanga Wilaya ya Mjini Unguja.ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.