WAZIRI wa Ardhi,
Maji, Nishati na Mazingira Salama Aboud Talib, akiwasili katika maeneo ya
Minungwini katika uwekaji wa jiwe la msingi la banda la vyumba vitatu vya skuli
ya Sekondari, ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Salama
Aboud Talib, akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi, katika
banda la Vyumba vitatu vya skuli ya Sekondari Minungwini Wilaya ya Wete, ikiwa
ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NO:ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
WAZIRI wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Zanzibar
Salama Aboud Talib, akiimba wimbo na wanafunzi wa Skuli ya Msingi Minungwini,
mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi katika skuli ya Sekondari Minungwini,
ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NO:ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
NAIBU katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar, Abdalla Mzee Abdalla akitoa taarifa ya kitaalamu ya ujenzi wa
banda la vyumba vitatu la skuli ya Sekondari Minungwini, ikiwa ni shamra shamra
za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA
NO:ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
MKUU WA Mkoa wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman akitoa salamu za wananchi wa Mkoa huo, katika uwekaji wa jiwe la msingi banda
la vyumba vitatu vya Skuli ya Sekondari Minungwini, ikiwa ni shamra shamra za
miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA
NO:ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
WANAFUNZI wa skuli ya Sekondari na Mzingi Minungwini
Wilaya ya Wete, wakifuatilia kwa makini Uwekaji wa Jiwe la Msingi la banda la
vyumba vitatu vya Sekondari, ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(PICHA NO:ABDI SULEIMAN,
PEMBA.)
WANAFUNZI wa skuli ya Sekondari na Mzingi Minungwini
Wilaya ya Wete, wakifuatilia kwa makini Uwekaji wa Jiwe la Msingi la banda la
vyumba vitatu vya Sekondari, ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(PICHA NO:ABDI SULEIMAN,
PEMBA.)
No comments:
Post a Comment