Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Soko la Tibirizi Chakechake Pemba Ikiwa ni Shamrashamra za Kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Viongozi wa Wizara ya Kilimo Mifugo Maliasili na Uvuvi wkiwa katika eneo la Soko Kuu la Tibirinzi Chakechake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko hilo uliofanya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Uzinduzi wa Miradi Mbalimbali ya Maendeleo katika Visiwa vya Unguja Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Mhe. Haji Omar Kheri , alipowasili katika viwanja vya Soko hilo kwa ajili ya Uzinduzi wake. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri wakiondoa kipazia kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi la Soko la Tibirinzi Chakechake Pemba ikiwa katika shamrashamra za kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa uzinduzi wa miradi mbalimbali katika Visiwa vya Unguja na Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Soko Jipya la Mbogamboga na Samaki katika eneo la Chakechake akipata maelezo kwa Mtoto aliyeandalia kwa ajili ya kumkabidhi mkasi kwa ukataji wa utepe huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Soko Jipya la Mbogamboga na Samaki katika eneo la Chakechake Pemba ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa uzinduzi wa miradi mbalimbali ya Maendeleo iliozinduliwa Zanzibar.
MKADARASI wa Ujenzi wa Soko hilo kutoka Kampuni ya ZECCON Ali Mbarouk akitowa maelezo ya ujenzi wa Soko hilo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akitembelea katika soko hilo baada ya kulizindua rasmin katika sherehe za shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati akitembelea maeneo ya Soko hilo katika chumba maalum cha kuhifadhia Samaki, nyama  na vyakula vyengine katika Soko hilo
KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Mifogo Maliasili na Uvuvi Joseph Abdalla Meza akitowa taarifa ya kitaalamu ya Ujenzi wa Soko Jipya la Tibirinzi Chakechake Pemba wakati wa hafla ya uzinduzi wake uliofanya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi wa Zanzibar
WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk Ali Mohammed Shein, kuzungumza na wananchi wa kisiwani Pemba wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko la Tibirinzi Chakechake Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Chakechake wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Chakechake Pemba, ikiwa ni sherehe za shamrashamra za maadhimishi ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54  ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54  ya Mapinduzi ya Zanzibar.

WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54  ya Mapinduzi ya Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.