Habari za Punde

Afisa Mdhamini mstaafu Ofisi ya Rais Pemba aagwa

 Ofisa Mdhamini Wizara ya Katiba Sheria ,Utumishi wa Umma na Utawala bora Pemba, Massoud Ali Mohamed, akisoma risala katika hafla ya kumuaga Ofisa Mdhamini Mstaafu kutoka Ofisi ya Rais MBLM Pemba, Bi Jokha Khamis Makame  huko katika ukumbi wa Baraza la Mji wa Chake Chake Pemba,. PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.
 Mstaafu kutoka Ofisi ya Rais MBLM- Pemba, Bi Jokha Khamis Makame, akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba,  Hemed Suleiman Abdalla na Makatibu Tawala wa mikoa miwili ya Pemba, wakifuatilia kwa makini Risala inayosomwa na Ofisa Mdhamini Katiba Sheria , Utumishi wa Umma na utawala bora  Pemba, Massoud Ali Moh'd, kwa mstaafu huyo. PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.
 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Hemd Suleiman Abdalla, akitowa maelezo kwa Watendaji wa Serikali Kisiwani Pemba, juu ya kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu ili kufikia hatuwa aliofikia Msataafu wa Ofisi ya Rais MBLM Pemba, Bi Jokha Khamis Makame kwa kustaafu bila ya kashfa fulani. PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.
 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Hemed Suleiman Abdalla, akimkabidhi baadhi ya Zawadi zilizotolewa na maofisa Wadhamini wa Taasisi za Serikali Kisiwani Pemba, Mstaafu kutoka Ofisi ya Rais MBLM Pemba, Bi Jokha Khamis Makame ambae alikuwa ni Mwenyekiti wa Maofisa Wadhamini Pemba. PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.
  Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Hemed Suleiman Abdalla, akimkabidhi baadhi ya Zawa zilizotolewa na maofisa Wadhamini wa Taasisi za Serikali Kisiwani Pemba, Mstaafu kutoka Ofisi ya Rais MBLM Pemba, Bi Jokha Khamis Makame ambae alikuwa ni Mwenyekiti wa Maofisa Wadhamini Pemba. PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

Ofisa Mdhamini Mstaafu wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pemba, Bi Jokha Kahmis Makame,akitowa nasaha zake kwa Watyendaji wakuu wa Serikali Kisiwani Pemba, mara baada ya kumuaga rasmi kwa kustaafu katika utendaji wa Serikali. PICHA NA JAMILA SALIM-MAELEZO PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.