Habari za Punde

Balozi Seif mgeni rasmin katika Bonanza la Michezo kupinga udhalilishaji wa kijinsia

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kati kati aliyevaa miwani aliyaongoza Matembezi ya Wanavikundi vya Mazoezi katika Bonanza Maalum la kupinga vitendo vya udhalilishaji Nchini yaliyoanza Komba wapya na Kumalizia Uwanja wa Amaan.
 Wanavikundi vya Mazoezi wakifanya vitu vyao wakati wakiingia Uwanja wa Amaan kuhitimisha Matembezi yao yaliyoanzia Viwanja vya Komba Wapya Muembe Ladu.
 Wanavikundi vya Mazoezi wakifanya vitu vyao wakati wakiingia Uwanja wa Amaan kuhitimisha Matembezi yao yaliyoanzia Viwanja vya Komba Wapya Muembe Ladu.
 Vikundi vya Mazoezi wakifanya mazoezi ya Beat na kunyoosha miili baada ya kukamilisha Matembezi yao ya kupinga vitendo vya udhaliliushaji Nchini
  Baadhi ya mabango yenye ujumbe Maalum unaoelimisha Jamii yaliyotumika katika matembezi ya Wanavikundi vya Mazoezi katika Bonanza Maalum la kupinga vitendo vya udhalilishaji Nchini.
   Baadhi ya mabango yenye ujumbe Maalum unaoelimisha Jamii yaliyotumika katika matembezi ya Wanavikundi vya Mazoezi katika Bonanza Maalum la kupinga vitendo vya udhalilishaji Nchini.
 Wanakikundi cha Mazoezi Wanawake wa timu ya pamoja ya Kikundi cha Mazoezi ya New Life Exercise Club na Kiembe Samaki Fitness Club wakivuta kamba  na kushindwa kwenye pambano lao dhidi ya Bandari wanawake.

 Binti Mdogo wa Miaka 10 kutoka Vikundi vya Mazoezi vya New Life Exercise Club na Kiembe Samaki Fitness Club, Ahlan Saleh akionyesha umahiri wake wa kuusarifu mwili wakati wa mazoezi ya Mchezo wa Yoga kwenye Bonaza la Michezo lililofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akitoa vyeti Maalum kwa Vikundi na Taasisi zilizosaidia kufanikisha Matembezi ya Bonanza la Michezo hapo Uwanja wa Amaan.
Wa kwanza kutoka Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud.
Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.