Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimvalisha cheo kipya Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed ambapo awali
alikuwa na cheo cha Meja Jenerali kabla hajamuapisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi
la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu jijini Dar es Salaam
Mnadhimu Mkuu wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan
Mohamed akizungumza mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo wakati Maafisa Mbalimbali wastaafu wa (JWTZ) walipokuwa
wakizungumza mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Maafisa
Mbalimbali wa Jeshi waliopandishwa vyeo kutoka Brigedia Jenerali na kuwa Meja
Jenerali wakipiga makofi wakati wa hotuba za Maafisa mbalimbali wastaafu wa
JWTZ walipokuwa wakizungumza Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwavalisha vyeo vipya
vya Meja Jenerali kutoka Cheo cha Brigedia Jenerali maafisa mbalimbali wa Jeshi
hilo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Maafisa Mbalimbali
wa Jeshi la Wananchi akiwemo Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed watano kutoka kulia
wakiwa wamepiga Saluti wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi, Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo,
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali
Yakubu Hassan Mohamed pamoja na Maafisa wengine wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi ambao
wamepandhishwa vyeo kutoka Cheo cha Brigedia Jenerali na kupewa cheo kipya cha
Meja Jenerali Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waandishi mbalimbali wa habari
waliofika kuripoti habari za Uapisho wa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed Ikulu jijini
Dar es Salaam
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment