Habari za Punde

Rais Dk Shein Ahutubia Siku ya Maadhimisho ya Sheria Zanzibar Yenye Kauli Mbiu " Imarisha Utawala wa Sheria Kwa Kukuza Uchumi wa Nchi"

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waheshimia Majaji wa Mahakama Kuu Zanzibar wakati akiwasili katika viwanja vya zamani vya Baraza la Wawakilishi kikwajuni Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waheshimiwa wa meza kuu wakisamama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wakati wa hafla hiyo ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Hafla ya Siku ya Sheria Zanzibar maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.