Habari za Punde

Wachuuzi wa Samaki Katika Soko la Mnada wa Darajani Zanzibar.

Wachuuzi wa Samaki kutoka sehemu mbalimbali wakiwa katika Mnada wa Samaki katika Soko Kuu la Darajani Unguja, bidhaa hiyo ikiwa katika mnada huo mtungo mmoja ulionadishwa na kufikia shilingi 70, inategemea na aina ya samaki.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.