Habari za Punde

Uzinduzi wa Juma la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michenzani Kisonge.

KAIMU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia ni Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akifungua Juma la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi michezani

MWANAFUNZI wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja Fumu Khamis , akitowa maelezo ya Ufundi wa umeme wa magari kwa wananchi waliofika kuangalia maonesho hayo katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu michezani 
MWANAFUNZI wa Skuli ya Amali Kituo cha Mwanakwerekwe  Unguja akiwa katika maonesho ya kuadhimisha Siku ya Mamlaka ya Mafunzo ya Amali yanayofanyika katika viwanja vya michezani mnara wa kumbukumbu ya Mapinduz
BAADHI ya bidhaa zinazozalishwa na Wanafunzi wa Vyuo vya Amali Zanzibar  zikiwa katika maonesho ya Juma la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali yanayofanyika katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya Mapinduzi michezaniNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.