Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) mezani kwake mara baada ya kuzipokea kutoka kwa CAG Profesa
Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza wakati akitolea ufafanuzi baadhi ya hoja zilizowasilishwa katika taarifa hiyo ya
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ripoti ya Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa ajili ya kwenda kuifanyia kazi
pamoja na Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi
mbalimbali za Serikali.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akimpongeza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(CAG) Profesa Mussa Assad mara baada ya kupokea Ripoti yake Ikulu jijini Dar es
Salaam. Katikati ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Baadhi ya Mawaziri
waliohudhuri katika tukio la uwasilishwaji wa Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG
wakifatilia kwa makini taarifa hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya
kupokea Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad pamoja na wafayakazi mbalimbali
kutoka katika Ofisi yake mara baada ya kuwasilisha taarifa hiyo ya ukaguzi wa
hesabu za Serikali kwa mwaka unaoishia tarehe 30 Juni 2017, Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment