SHEHA wa Shehia ya
Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, Ali Abdalla Faki akizungumza na
wanakikundi cha uhifadhi mazingira, katika bonde la Magongoni Gando mara baada
ya kumalizika kazi ya upandaji wa miti wa Mikandaa, ikiwa ni maadhimisho ya
siku ya Misitu duniani.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN,
WANAKIKUNDI CHA Uhifadhi wa mazingira kwa
kushirikiana na jumuiya ya CFP Pemba, wakipanda miti ya mikoko zaidi ya 17,770
katika bonde la Magogoni katika madhimisho ya siku ya Misitu Duniani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:
Post a Comment