Habari za Punde

Bopar atoa msaada kwa Hospitali za Chakechake na Mkoani

 Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hamad Rashid Mohammed, akipokea msaada wa Mchele kutoka kwa mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar , Said Nassir Nassor, kwa ajili ya Hospitali ya Chake Chake
Chake Pemba.
 Mfanyabiashara maarufu Zanzibar, Said Nassir Nassor (BOPAR) akitowa msaada mafuta ya kula kwa ajili ya Hospitali ya Chake Chake Pemba.

Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar , Said Nassir Nassor , akimkabidhi msaada wa Sabuni ya kufulia kwa ajili ya Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Kisiwani Pemba.

Picha na Habiba Zarali -Pemba.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.