Habari za Punde

Wizara ya kilimo, maliasili,mifugo na uvuvi yaendesha mafunzo ya usarifu wa zao la Vanilla

 Zao la Vanilla lililolimwa vizuri likiwa kwenye mafunzo ya usarifu wa zao hilo
 Mmoja wa wakufunzi wa usarifu wa zao la Vanilla akitoa maelezo kwa washiriki katika mafunzo ya usarifu wa zao la V anilla. Mafunzo yamefanyika kwenye jengo la Usarifi liliopo Kizimbani hivi karibuni. Jumla ya wakulima 25 walishirikia katika mafunzo hayo kwani zao la Vanilla limekuwa likihitajika sana kwenye masoko ya ndani na ya nje
Baadhi ya washiriki katika mafunzo ya usarifu wa zao la Vanilla wakipta maelezo jinsi ya kupata mavuno bora kwani kilo moja ya Vanilla Gredi A  huzwa kwa Sh Laki Sita na tayari Zanzibar kupata wawekezaji kutoka nchini China


i

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.