MKALIMANI wa Lugha za Alama Kisiwani Pemba, Asha
Issa Mohamed, akiwatafsiriwa watu wenye ulemavu wa usikivu, wakati wa ufunguzi
wa mafunzo ya siku moja kwa juu ya Udhalilishaji, Ukatili wa kijinsia na
Ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu, huko katika ukumbi wa Makonyo Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WASHIRIKI kutoka Taasisi mbali mbali zinazojihusisha
na watu wenye ulemavu, masheha na madiwani, wakifuatilia kwa umakini ufunguzi
wa mafunzo juu ya Udhalilishaji, Ukatili wa kijinsia na Ubaguzi dhidi ya watu
wenye ulemavu, huko katika ukumbi wa Makonyo Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Pemba, Ali Salim Ali Mata, akizungumza katika mafunzo juu ya Udhalilishaji,
Ukatili wa kijinsia na Ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu, huko katika ukumbi
wa Makonyo Chake Chake.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla,
akifungua kikao cha siku moja juu ya Udhalilishaji, Ukatili wa kijinsia na
Ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu, huko katika ukumbi wa Makonyo Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment