Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Msingi Limbani Ali
Makame akizungumza katika hafla ya utoaji wa zawadi kwa wanafunzi waliofanya
vizuri katika mitihani yao ya taifa ya darasa la sita
Katibu
Tawala Wilaya ya Wete Mkufu Faki Ali akizungumza na wanafunzi wa Skuli ya
Msingi Limbani wakati wa mahafali ya utoaji wa zawadi kwa wanafunzi waliofanya
vizuri katika mitihani yao ya darasa la sita
Katibu tawala Wilaya
ya Wete akimkabidhi zawadi mwanafunzi wa Skuli ya Limbani zawadi yake .
Katibu tawala Wilaya
ya Wete akimkabidhi zawadi mwanafunzi wa Skuli ya Limbani zawadi yake .
Katibu tawala Wilaya
ya Wete akimkabidhi zawadi mwanafunzi wa Skuli ya Limbani zawadi yake .
Wanafunzi wa Skuli ya
Msingi limbani wakimsikiliza Katibu Twala Wila ya Wete Mkufu Faki Ali wakati wa
mahafali ya utoaji wa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani ya
taifa ya darasa la sita
PICHA ZOTE NA SAID
ABDULRAHMAN PEMBA.
No comments:
Post a Comment