Habari za Punde

Michuano ya Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Taifa ya Jangombe na Black Sailor Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao 1 - 1.

Kipa wa Timu ya Black Sailor akipata huduma ya kwanza baada ya kugongana na mchezaji wa Timu ya Taifa ya Taifa ya Jangombe, na baada ya kupata matibabu na kupewa kadi nyekundu cha mchezo mbaya aliomfanyia mshambuyliaji wa Timu ya Taifa ya Jangombe, wakati wa mchezo wao Ligi Kuu Kanda ya Unguja iliofanyika katika Uwanja wa Amaan.Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
MCHEZAJI wa Timu ya Black Sailor Iddi Idrisa akijaribu kumpita beki wa Timu ya Taifa ya Jangombe Muharami Issa, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao. 1-1.
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Taifa ya Jangombe Salum Yahya akijaribi kumpita beki wa Timu ya Black Sailor Khatib Kombo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu Kanda ya Unguja Mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu hizi zimetoka sare ya bao 1-1

MSHAMBULIAJI wa Timu ya Taifa ya Jangombe Yussuf Seif akimpita beki wa Timu ya Black Sailor Seif Badru wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Kanga ya Unguja mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao.1-1No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.