Habari za Punde

Uimarishaji wa Zao la Karafuu Visiwani Zanzibar.

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuwa ikichukua jitihada za makusudi ili kuliendeleza zao la karafuu (Pichani mkulima Abdalla Ali wa Mtambwe kusini akiwa katika harakati ya kuchukua miche katika kitalu cha Serikali huko Weni.

Miche ya Mikarafuu ambayo imeatikwa katika nasari ya Weni katika Wilaya ya Wete Pemba.

Picha  na Said Abrahaman - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.