WACHEZAJI wa Timu ya
ZECO wakisalimiana na wachezaji wa ZAWA wakati wa mchezo wa Mei Mosi yaliyoanza
kutimua vumb I lake katika uwanja wa michezo Gombani, ZECO kuibuka na ushindi
wa bao 4-1.
MKUU wa Mkoa wa
kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akisalimiana na wachezaji wa timu ya ZAWA,
kabla ya kufungua rasmi mashindano ya Mei Mosi yaliyofanyika uwanja wa Gombani,
ZECO kuibuka na ushindi wa bao 4-1 dhidi ya ZAWA
MKUU wa Mkoa wa
kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akisalimiana na wachezaji wa Timu ya ZECO,
kabla ya kufungua rasmi mashindano ya Mei Mosi yaliyofanyika uwanja wa Gombani,
ZECO kuibuka na ushindi wa bao 4-1 dhidi ya ZAWA
MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla,
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa timu ya ZECO baada ya kufungua rasmi
mashindando ya Mei Mosi yaliyofanyika uwanja wa Gombani, ZECO kuibuka na
ushindi wa bao 4-1 dhidi ya ZAWA.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MKUFUNZI wa waamuzi
Kisiwani Pemba na mwamuzi wa FIFA mstaafu Ali Juma Salim katikati, akiwa katika
picha ya Pamoja na waamuzi chipkizi wanaochezaji ligi za madaraja mbali mbali
Kisiwani hapa, kabla ya kuanza kwa mashindano ya Mei mosi ambapo ZECO iliibuka
na ushindi wa bao 4-1 dhidi ya ZAWA.
(Picha na Abdi Suleiman -Pemba)
No comments:
Post a Comment