Habari za Punde

UZINDUZI WA CHANJO MPYA DHIDI YA MARADHI YA SARATANI LA MLANGO WA KIZAZI

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Hassan Khatibu Hassan wakati alipowasili viwanja vya Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi  ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo (wa pili kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.] 10/04/2018.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Afya na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika  Uzinduzi wa Chanjo mpyaDhidi  ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa  Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani)
Mwakilishi wa Shirika la Misaada la UNFPA Batula Abdia akitoa salamu zake  katika  Uzinduzi wa Chanjo mpyaDhidi  ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa  Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani),
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (katikati)  alipokuwa akitoa hutuba yake ya  Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi  ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa  Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto0 Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Syrus Castico
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kulia) alipokuwa akikata utepe kuashiria  Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa  Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed na (katikati)Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Hassan Khatibu Hassan
 Wauguzi kituo cha Afya Dunga na Wanafunzi wakiwa katika  Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi  ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa  Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani),
 Wananchi wakimsikiliza  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani),wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya  Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi  ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa  Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kulia) akionesha kichupa cha Dawa ya chanjo ya kama ishara ya  Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa  Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kushoto) akimuangalia Mwanafunzi  Wahida Makame Sunna (katikati) akipatiwa Chanjo ya(HPV)  mara baada ya  Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi  ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.