Habari za Punde

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Azindua Mbio za Mwenge wa Uhuru Geita leo.

 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru baada ya kuuasha katika viwanja vya Magogo Geita , akikabidhiwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Charles Kabeho.kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu. Mhe Jenista Mhagama.    

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwasha Mwenge wa Uhuru katika viwanja vya Magogo Geita, wakati wa uzinduzi wa mbio za Mwenge Tanzania,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu. Mhe Jenista Mhagama. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.