WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar
Mahmoud Thabit Kombo, akipata maelezo jinsi gani nyaraka za Serikali
zinavyotunzwa kutoka kwa mkuu wa Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Pemba Kombo
Khamis Bakari, wakati wa ziara yake ya kisiwani Pemba hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar,
Mahmoud Thabit Kombo akiangalia mitambo ya kisasa iliyomo ndani ya Studio ya
kisasa ya ZBC TV Pemba, kutoka kwa mkuu wa kitengo cha IT Khamis Ali, wakati
Waziri alipofanya ziara yake Kisiwani Pemba, hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar,
Mahmoud Thabit Kombo akimsikiliza kwa makini mkuu wa kitengo cha IT katika kituo
cha ZBC TV Pemba, Khamis Ali wakati waziti alipotembelea studio hiyo katika
zaira yake Kisiwani Pemba hivi karibuni.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar,
Mahmoud Thabit Kombo akiangalia moja ya mskiti wa ijumaa tokea karne ya 16 katika
makumbusho ya Chwaka Tumbe Wilaya ya Micheweni, wakati wa ziara yake Kisiwani
Pemba hivi Karibuni.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar,
Mahmoud Thabit Kombo, akiangalia moja ya nakshi zilizonakshiwa vizuri katika
moja wa msikiti ya kihistoria inayopatikana katika eneo la Chwaka Tumbe.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar,
Mahmoud Thabit Kombo akipata malezo juu ya makaburi ya watoto wa Mazrui tokea
karene ya 17 hadi 18 mwaka 1806AD sawa na 1221AH, kutoka kwa mkuu wa makumbusho
ya kale Pemba Salum Seif, aktika zaiara yake ya hivi karibuni Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment