WaziriwaUjenzi, MawaslianonaUsafirishaji Dk. SiraUbwaMwamboyaakishukaBotiba adayakumalizaziarayakeyakukagu aMnarawakuongozeaMeli. katikaziarahiyoWazirialijiridh ishanakuruhusuujenziwaTangi la Majikuendelea
Waziri wa Ujenzi, Mawasliano na Usafirishaji Mhe.Sira Ub wa akitoa maelezo kwa Wanah abari mara baada ya kukaguwa Mnara w a kuongozea Meli uliodhaniwa kuwa u tazibwa kutokana na harakati za uje nzi waTangi la Maji
Mnara wa kuongozea Meli uli opo Kilimani
KatibuMkuuWizarayaUjenzi, MawaslianonaUsafirishajiMustaf a Abdu Jumbe(Mwenye Kaunda suti) akizungumzanaViongoziwaMamlaka yaMaji Zanzibar wanaojengaMnarawaTangi la MajikaribunaMnarawakuongezeaMe li.
MkurugenziMkuuwaShirika laBandariCapteniAbdallaJumaAbd allaAkizungumzanaWaandishiwaHa baribaadakuangaliaMnarawakuong ozeaMeli
MnarawakuongezeaMeliukionekana kwambaliambapoWaziri Dk.SiraaliruhusuujenziwaTangi la MajiunaonofanywakaribunaMnarah uokuendelea
MkurugenziwaMamlakayaMaji Zanzibar ( ZAWA): MussaRamadhani AliwaMamlakayaMaji Zanzibar akizungumzanaViongoziwaWizaray aUjenzi, MawaslianonaUsafirishajibaaday akutembeleaUjenziwaMnarawaTang i la MajikaribunaMnarawakuongezeaMe li. Picha Na Miza Othman. Maelezo - Zanzibar.
Na Miza Kona Maelezo-Zanzibar 20/04/2018
Shirika la Bandari Zanzibar limeruhusuMamlakayaMaji Zanzibar ZAWA kuendeleanaujenziwaTangi la majiambaohapoawaliulidhaniwaku zibaMnarawakuongozeaMeli.
Uamuzihuoumekujakufuatiaziarai liyofanywanaWaziriwaUjenzi, MawasilianonaUsafirishajiDktSi raUbwaMwamboyakuangaliaMnarahu owakuongozeaMeliuliopoKilimali nimjini Zanzibar.
Amesema ujenziwaTangi la Majiunaofanywakaribunaeneo laMnarahuowakuongozeaMeliimeba inikahauwezikuathiriutendajika ziwake.
“ Hapoawalitulikuwanawasiwasikuw aujenziwatangi la majiunaojengwana ZAWA utazibamnarawetulakinitumekwen dakuangaliakupitiabaharinitume onakuwaujenzihuohauathirimeliz inzoingiabandarinihivyowanawez akumaliziaujenziwao” alielezaDktSira.
Amesemakwa vile hudumahiyoyamajinimuhimukwajam iinahaiathirihudumazabandariwa katiwauingiajiwameli, ZAWA wanahakiyakuendeleakuwapatiaWa nanchihudumahiyo.
NaeKatibuMkuuWizarahiyo Mustafa AboudJumbeamesemaMnarahuounata kiwauwepokatikaeneo la waziilikuziongozaMelizinazoing ianakutokakatikabandariyaMalin di.
Kwaupande wake MkurugenziMkuuMamlakayaMaji ZAWAMussaRamadhan Ali amesemaujenzihuoutaendeleabaad ayamaridhianonaWizarayaMawasil iano.
Amefafanuakuwaujenziwatangi la majinimradiwamajisafiwaMjiMkon gweambaoumefadhiliwanaShirika la Maendeleo la Afrika ADB ambapounatarajiwakumalizikaMwe ziAprili 2019.
IMETOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment