Ofisa Mdhamini Wizara ya Afya Pemba Mhe.Shadya Shaaban Seif akiangalia ukuta uliojengwa
ili kuzuwia mmong’onyoko katika hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba ukiwa katika hatari ya kuanguka kutokana na maji ya mvua za masika kuliharibi eneo la ardhi ya jirani na Hospitali hiyo.lililojengwa ukuta wa kuzuiya athari za mmongonyoko wa ardhi.
OFISA
Mdhamini Wizara ya Afya Pemba Shadya Shaaban Seif akiangalia ukuta uliojengwa
ili kuzuwia mmong’onyoko katika hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba
uliosababishwa na mvua zinazonyesha.
OFISA
Mdhamini Wizara ya Afya Pemba Shadya Shaaban Seif akiangalia ukuta uliojengwa
ili kuzuwia mmong’onyoko katika hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba
uliosababishwa na mvua zinazonyesha.
MGANGA Mkuu
wa Hospitali ya Abdalla Mzee Haji Mwita Haji akimuonesha ofisa Mdhamini Wizara
ya Afya Pemba eneo lililoathiriwa na mvua na kufanyiwa ujenzi ili kunusuru
ukuta wa hospitali hiyo usianguke.
OFISA
Mdhamini Wizara ya Afya Pemba shadya Shaaban Seif akikaguwa maeneo ya Hospitali
ya Abdalla Mzee yaliyoathirika na mmong’onyoko wa ardhi kufuatia mvua
zinazonyesha.
MGANGA Mkuu
wa Hospitali ya Abdalla Mzee Haji Mwita Haji akijadiliana jambo na Ofisa
Mdhamini Wizara ya Afya Pemba Shadya Shaaban Seif juu ya kitu gani kifanyike
ili kunusuru mmong’onyoko wa ardhi katika eneo la hospitali.
No comments:
Post a Comment