Habari za Punde

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hamad Rashid Azindua Mpango wa Utekelezaji wa Uzazi wa Mpango Zanzibar.

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed, akizindua Kitabu cha Mpango wa Uzazi wa Mpango Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.  
Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya Watu Duniani Jacquline Mahon akizungumza katika mkutano wa uzinduzi wa Mpango wa Utekelezaji wa Uzazi wa Mpangilio Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Asha Abdulla akifunga mkutano wa Mpango wa Utekelezaji wa Uzazi wa Mpangilio Zanzibar katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View  Kilimani Mjini Zanzibar
Mwenyekiti wa Kamati ya Afya na Ustawi Jamii  wa Baraza la Wawakilishi Dkt. Mwinyihaji Makame akichangia katika mkutano wa Mpango wa Utekelezaji wa Uzazi wa Mpangilio Zanzibar katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View  Kilimani Mjini Zanzibar.
 Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Mpango wa Utekelezaji wa Uzazi wa Mpangilio  Zanzibar uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View  Kilimani Mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.