Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Alihutubia Baraza la Eid El Fitry Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

Msafara wa Mapikipiki ya Polisi yakiongoza Msafari wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ukiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.