Habari za Punde

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo Azinduzi wa Ripoti ya Utalii na Watoto na Jamii Zanzibar Katika Ukumbi Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akiwahutubia Wadau wa Sekta ya Utalii Zanzibar wakati wa Uzinduzi wa Ripoti ya Utalii na Watoto na Jamii, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Kimataifa ya Verde Mtoni Zanzibar.  

Mkurugenzi Mkaazi wa UNICEF Tanzania Bi. Maniza Zaman akitowa Salamu za UNICEF wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Ripoti ya Utalii na Watoto na Jamii Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Wadau wa Sekta ya Utalii Zanzibar wakifuatilia uzinduzi wa Ripoti hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Kimataifa ya Verde Mtoni Zanzibar.
Mkurugenzi wa ZATI Bi. Helen Peeks akitowa maelezo wakati wa mkutano wa Wadau wa Utalii Zanzibar katika Uzinduzi wa Utalii na Watoto na Jamii Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Kimataifa ya Verde Mtoni Zanzibar.Mtafiti wa Ripoti ya Utalii na Watoto na Jamii Zanzibar kutoka Kampuni ya Burean Wyser, Bwana John Hummel akiwasilisha ripoti hiyo ya Uchunguzi wakati wa uzinduzi wake uliofanywa na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabi Kombo, katika ukumbi wa Hoteli ya Kimataifa ya Verde Mtoni Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.