Habari za Punde

Kikosi cha Timu ya Simba SC Mabingwa wa Tanzania Waaza Mazoezi Rasmini Kwa Kujiandaa na Msimu Mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania.

Wachezaji wa Timu ya Simba wakiwa katika mazoezi makali ya kujiandaa na Ligi Kuu ya Tanzania inayotarajiwa kuaza mwezi ujao. Wakiwa Nchini Uturuki kwa maandalizi ya Ligi hiyo.  










No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.