Habari za Punde

Kilele cha maadhimisho ya siku ya Ushirika duniani chafanyika Zanzibar

 Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali  kushoto akipatiwa maelezo na kijana Rashid Kaimu Rashid kutoka Ushirika wa Chakiumu kuhusiana na utengenezaji wa Chauro za Unga wa muhogo katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani yaliofanyika Chuo cha Amali Mkokotoni Kaskazini A  Unguja.

  Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali katikati akiwa pamoja na Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico wa mwanzo kulia na Mkurugenzi mtendaji wa DNL Express Tanzania Paul Makolosi kushoto wakiangalia Bidhaa mbalimbali za wanaushirika katika   kilele cha Maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani yaliofanyika Chuo cha Amali Mkokotoni Kaskazini A Unguja.
 Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akibonyeza kitufe kuashiria Uzinduzi wa Websait ya Vyama vya Ushirika  katika   kilele cha Maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani yaliofanyika Chuo cha Amali Mkokotoni Kaskazini A Unguja.
 Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akimkabidhi Cheti cha Shukrani Hassan Hassan kwa kuchangia Maadhimisho na kufanikiwa katika   kilele cha Maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani yaliofanyika Chuo cha Amali Mkokotoni Kaskazini A Unguja.


Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akitoa hotuba katika  kilele cha Maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani yaliofanyika Chuo cha Amali Mkokotoni Kaskazini A Unguja.kulia ni   Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico na kushoto ni Muakilishi wa Mkuu wa Mkoa Kaskazini na Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja Hassan Ali Kombo.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.