Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kulia akiwa na Uongozi wa Wizara ya Afya Ofisini kwake Vuga kutathmini ziara yake aliyoifanya siku mbili zilizopita katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja.Ziara hiyo ilikuwa na lengo la kuangalia changamoto zinazoikabili Hospitali hiyo pamoja na Watendaji wake ambapo aliuagiza Uongozi wa Hospitali hiyo kutanzua malalamiko ya haki za Watendaji wake.

Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.