Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Wawekezaji Sekta ya Utalii.

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Wawekezaji wenye miradi ya Kiuchumi Zanzibar pamoja na Viongozi wa Serikali wa Mikoa, Wilaya na Taasisi zinazosimamia Sekta ya Utalii pamoja na Mamlaka ya Uwekezaji Vitega Uchumi Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.