Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Kongamano la Pili la Biashara na Uwekezaji Kati ya Tanzania na Jamhuri ya Korea kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Julai 23, 2018.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee Nak- yon akihutubia katika Kongamano la Pili la Biashara na Uwekezaji Kati ya Tanzania na Korea kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee Nak - yon (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi walioshiriki katika Kongamano la Pili la Biashara na Uwekezaji Kati ya Tanzania na Korea kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Julai 23, 2018. Kushoto kwa Waziri Mkuu Majaliwa ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dkt. Augustine Mahiga.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment