Habari za Punde

Wanafunzi wa Chuo Cha Kiislam Zanzibar Wakionesha Ingizo lenye Ujumbe wa Kupinga Vitendo vya Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto Zanzibar.

Wanafunzi wa Chuo cha Kiislam Mazizini Zanzibar wakionesha Igizo la mchezo wa Vitendo vya Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto Zanzibar, onesho hilo lililofanyika katika viwanja vya Chuo cha Kiislam Mazizini Zanzibar, wakati wa mahafali ya 16 ya Chuo. Igizo hilo limechukua simazi kwa Wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.