WASTAFU
wakiwasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar
(ZSSF) kilimani kwa ajili ya kufanyiwa uhakiki na Maofisa wa ZSSF kwa ajili ya
malipo ya Pensheni kupitia Mfuko huo
AFISA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar
(ZSSF) Omar Nassib, akimfanyia Uhakiki Mstaafu Suleiman Said Suleiman, wakati
wa zoezi la kuhakiki Wastaaf wanaopokelea Penshini zao ZSSF, zoezi hilo
limefanyika katika Majengo ya Makao Makuu ya Kilimani Zanzibar
AFISA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Ndg. Omar Nassib,
akimfanyika uhakiki Mstaaf anayepokelea Pensheni yake ZSSF Ndg. Ramadhan Ali
Ramadhan, wakati wa zoezi la kuwahakiki Wastaaf wanaopokelea Pensheni zao ZSSF
Zanzibar, zoezi hilo limefanyika katika Makao Makuu wa Mfuko huo Kilimani
Zanziba
No comments:
Post a Comment