Habari za Punde

Sherehe za Kuadhimisha Miaka 52 ya PBZ Tawi la Darajani Unguja Yafana. Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Bi. Khadija Shamte Mzee Akitowa Huduma za Kibenki Kwa Wateja Wao.

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd,PBZ Bi. Khadija Shamte Mzee, akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa PBZ Tawi la Darajani Unguja wakati wa hafla ya kuadhimisha Miaka 52 ya PBZ Tangu kuazishwa kutowa huduma za Kibenki kwa Wananchi wa Zanzibar, Hafla hiyo imefanyika katika Tawi hilo na kutowa zawadi kwa Wateja waliofika katika Tawi hilo kupata huduma.
 Wafanyakazi wa PBZ Tawi la Malindi Zanzibar wakitowa zawadi kwa Wateja wao wakati wa maadhimisho ya Miaka 52 ya Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd PBZ Chaguo la Watu.
 Wafanyakazi wa PBZ Tawi la Malindi Zanzibar wakitowa zawadi kwa Wateja wao wakati wa maadhimisho ya Miaka 52 ya Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd PBZ Chaguo la Watu.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd, Bi. Khadija Shamte Mzee, akitowa huduma za Kibenki kwa Wateja wao wakati wa hafla ya kuadhimisha Miaka 52 ya PBZ Tawi la Darajani Unguja.
Meneja wa PBZ Tawi la Darajani Unguja akitowa huduma za Kibenki kwa Wateja wa PBZ wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 52 ya PBZ Tangu kuazishwa kwake Zanzibar kutowa huduma za kibenki kwa Wananchi wa Zanzibar. 
 Wafanyakazi wa PBZ Tawi la Daraja Unguja wakitowa huduma za Kibenki kwa Wananchi wa Zanzibar waliofika katika Tawi hilo kupata huduma za kibenki.
 Wafanyakazi wa PBZ Tawi la Daraja Unguja wakitowa huduma za Kibenki kwa Wananchi wa Zanzibar waliofika katika Tawi hilo kupata huduma za kibenki.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Bi. Khadija Shamte Mzee akizungumza na waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati wa hafla ya kuadhimisha Miaka 52 ya PBZ Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.