Habari za Punde

Balozi Seif ampa pole Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kufiwa na mama yake mzazi

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifariji na kuipa pole  Familia ya Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Mmanga Mjengo Mjawiri kufuatia kufariki kwa Mama yao Bibi Mwakombo Mjengo hapo katika Kijiji cha Makombeni Wilaya ya Mkoani Pemba.

Balozi Seif akiifariji Familia ya Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Mmanga Mjengo Mjawiri Makombeni Mkoani alipoika kuipa pole kufuatia kifo cha Mama yao Bibi Mwakombo Mjengo.
Kulia ya Balozi Seif ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Mmanga Mjengo Mjawiri na kushoto yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mh. Omar Khamis Othman.
Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.