Habari za Punde

Wananchi na Watoto Wakiwa Katika Ufukwe wa Pwani ya Forodhani Zanzibar wakisherehekea Sikukuu ya Eid Al Hajj

Watoto na Wazazi wao wakiwa katika ufukwe wa bahari ya Forodhani Zanzibar wakifurahia Siku ya Eid Al Hajj, katika ufukwe huo kwa michezo mbalimbali ya kuogelea katika ufukwe huo kama walivyokutwa na wakiwa katika ufukwe huo.
Hali ya ufukwe wa forodhani ukiwa umefurika wananchi wakisherehekea Sikukuu ya Eid Al Hajj katika ufukwe huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.