Habari za Punde

Mbunge wa Viti Maalum CCM Mhe. Faida Mohammed na Mwakilishi wa Jimbo la Chake Suleiman Sarahani Wakabidhi Mashuka Hospitali ya ChakeChake Pemba.

 Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Faida Mohamed Bakari, akimkabidhi mashuka 100 Kaimu Afisa Mdhamini Wizara ya Afya Pemba,Ndg.Yakub Mohamed Shoka kwa ajili ya Hopsitali ya Chake Chake Pemba kuliwa Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake Pemba Mhe. Suleiman Sarahani Said, hafla imefanyika katika ukumbi wa Hospitali ya ChakeChake.  

VIONGOZI mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Chake Chake, wakiongozwa na Mwakilishi wa jimbo hilo Suleiman Sarahan Said na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa kusini Pemba Faid Mohamed Bakari wakitandika shuka katika moja ya vitanda vilivyomo ndani ya Spitali ya Chake Chake 
(Picha na Abdi Suleiman -Pemba.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.