Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said Akabidhi Cheti Cha Shukrani Kwa Uongozi wa Shirika la Bima Zanzibar Kwa Msaada Wao Kwa Wananchi wa Jimbo Lake.

Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Bima Zanzibar Ndg. Abdulnasir Ahmed Abdurahaman akiwa na mgeni wake Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said wakielekea chumba cha mkutano wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani na kukabidhi Cheti cha shukrani kwa kuthamini mchango wao kusaidia Wananchi wa Jimbo la Tunguu Wilaya ya Kati Unguja kuimarisha Miradi ya Maji Safi na Salama.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza na kutowa shukrani za Wananchi wa Jimbo lake kwa msaada wao katika kufanikisha Mradi wa usambazaji wa mabomba ya maji katika Jimbo hilo, kulia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bima Zanzibar Ndg. Jumbe Said Ibrahim na kushoto Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Bima Zanzibar Ndg. Abdulnasir Ahmed Abdulrahaman. wakiwa katika ukumbi wa Ofisi hizo.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza kabla ya kukabidhi Cheti cha shukrani kwa Shirika la Bima Zanzibar kwa msaada wao kusaidia Mradi wa usambazaji wa mipira ya kusambaza maji katika Jimbo hilo katikati Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Bima Zanzibar Ndg. Abdulnasir Ahmed Abdulraham na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bima Zanzibar Ndg Jumbe Said Ibrahim.wakifuatilia maelezo hayo. 
MWAKILISHI wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Wilaya ya Kati Unguja Mhe. Simai Mohammed Said akimkabidhi Cheti cha shukrani Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Bima Zanzibar Ndg.Abdulnasir Ahmed Abdurahaman , kwa ushirikiano wa kuchangia maendeleo ya Wananchi wa Jimbo la Tunguu, katika sekta ya maji, akishuhudia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bima Zanzibar.Ndg. Jumbe Said Ibrahim.hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Bima Mpitani Zanzibar

Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Bima Zanzibar Ndg. Adbulnasir Ahmed Abdulrahamn akifurahia wakati akikabidhiwa Cheti cha Shukrani na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, kushoto, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Bima Mpirani Zanzibar.
Mkurugenzi Muendeshaji wa Shiriki la Bima Zanzibar, Ndg. Abdulnasir Ahmed Abdulrahaman kulia akitowa neno la shukrani baada ya kukabidhiwa Cheti cha shukrani na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu kwa kuthamini mchango wao kwa Wananchi wa Jimbo lake.kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bima Zanzibar Ndg. Jumbe Said Ibrahim.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akipata maelezo kutoka kwa Wafanyakazi wa Shirika la Bima wakati alipopata fursa ya kutembelea Ofisi za Bima Mpirani kujionea utendaji na ufanisi wa Kazi zao kuhudumia wateja wao.katikati Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Ndg. Jumbe Said Ibrahim na Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Bima Zanzibar Ndg. Abdulnasir Ahmed Abdurahaman.

Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Bima Zanzibar Ndg. Abdulnasir Ahmed Abdulrahaman mwenye tai nyekundu akitowa maelezo kwa Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar alipokuwa akitembelea Ofisi za Bima Mpirani Zanzibar wakati wa hafla ya kukabidhi Cheti cha Shukrani.

Imetayarishwa na Zanzinews.com 
By.Othman Maulid 
Email othmanmaulid@gmail.com
Phone 0777424152& 0715424152.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.