RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akiongozana Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud
na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, walipowasili Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Indonesia baada ya
kumaliza ziara yake ya wiki moja.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akivishwa shada la maua na Mtoto aliyeandaliwa wakatika wa hafla ya mapokezi
yake katikia Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
MKE
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Wazee wa CCM baada
ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,
akitokea ziarani na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana
na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya Zanzibar baada ya kuwasili
Zanzibar baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja Nchini Indonesia
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Wananchi waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume akitokea ziarani Nchini Indonesia
NAIBU
Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Dkt. Juma Mohammed akiongoza
mahojiano ya Waandishi wa Habari Zanzibar wakati wa mazungumzo yao na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, baada ya
kuwasili Zanzibar akitokea Nchini Indonesia baada ya kumaliza ziara yake ya
wiki moja.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Serikali na
Binafsi, katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar, kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Serikali na Binafsi, katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Balozi Amina Salum Ali, Mshauri wa Rais Mambo ya Nje Mhe.Balozi Moha mmed Ramia na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
Waandishi wa habari wakifuatlia mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ziara yake Nchini Indonesia.
No comments:
Post a Comment