Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia Nd,Abubakar Mansoer jana walipokutana kwa mazungumzo katika Hoteli ya Discovery Kartika Plaza akiwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla
 Baadhi Viongozi katika Ujumbe wa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakiwa katika mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo  Nd,Abubakar Mansoer (hayupo pichani) katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia Nd,Abubakar Mansoer (katikati) pamoja na Viongozi wa pande mbili hizo   walipokutana jana kwa mazungumzo katika Hoteli ya Discovery Kartika Plaza  katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ahaj Dk.Ali Mohamed Shein  (wa pili kulia) pamoja na ujumbe wake walishiriki katika swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Msikiti Masjid Hudal Islamiya wa Mjini Bali Indonesia katika ziara ya  mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ahaj Dk.Ali Mohamed Shein  (katikati) akifuatana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malaysia pia akiiwakilisha Tanzania Nchini Indinesia Mhe.Dkt.Ramadhan Kitwana Dau, pamoja na ujumbe wake wakitoka katika swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Msikiti Masjid Hudal Islamiya wa Mjini Bali Indonesia wakatika ziara ya  mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.]03/08/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.