Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mama yake mzazi Suzana Magufuli
wakati wakitoa heshma za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Marehemu Dada yake
Monica Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za mwisho katika jeneza lenye mwili
wa Marehemu Dada yake Monica Magufuli
nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsaidia Mama yake mzazi Suzana Magufuli wakati
wakuweka udongo ndani ya kaburi la Marehemu Dada yake Monica Magufuli nyumbani
kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka udongo
ndani ya kaburi la Marehemu Dada yake Monica Magufuli nyumbani kwao katika
kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo ndani ya kaburi la Monica Joseph Magufuli wakati wa mazishi yaliyofanyika katika kijijini cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Rais
Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo katika kaburi
la Monica Magufuli wakati wa Mazishi katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani
Geita.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo ndani ya kaburi la Monica Joseph Magufuli wakati wa mazishi yaliyofanyika katika kijijini cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Monica Joseph Magufuli likipelekwa Kanisani kwa
ajili ya Misa takatifu Chato Mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa kanisani
katika Misa takatifu ya kumuombea Marehemu Dada yake Monica Magufuli. Wengine
katika picha ni Mama yake Suzana Magufuli, Stanslaus Lori Madulu(Mme wa
marehemu) , Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi, Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga pamoja na viongozi mbalimbali
wa Kiserikali.
Baba Askofu mkuu Mwandamizi Yuda Thaddeus Ruwaichi akiongoza
Misa ya kumuombea Marehemu Monica
Magufuli Chato mkoani Geita
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja
na Mkewe Mama Marry Majaliwa wakitoa heshma zao za mwisho katika jeneza lenye
mwili wa Marehemu Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Rais mstaafu wa awamu ya Tatu
Benjamin Mkapa akitoa heshma za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Marehemu
Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Rais
Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshma za mwisho
katika jeneza lenye mwili wa Marehemu Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani
Chato mkoani Geita.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Raila
Odinga akitoa heshma za mwisho katika
jeneza lenye mwili wa Marehemu Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato
mkoani Geita.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye mwili wa Marehemu Monica Magufuli
katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Baba Askofu mkuu Mwandamizi Yuda Thaddeus Ruwaichi akiongoza
Misa ya kumuombea Marehemu Monica
Magufuli Chato mkoani Geita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la Dada yake Monica Magufuli mara baada ya mazishi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anazungumza jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kumaliza mazishi ya Dada yake Marehemu Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la Dada yake Monica Magufuli mara baada ya mazishi.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji
Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu
wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya
Raila Odinga wakati shuguli za mazishi zikiendelea katika kijiji cha Mlimani
Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anazungumza jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kumaliza mazishi ya Dada yake Marehemu Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment